Werrason
JF-Expert Member
- Nov 5, 2014
- 13,516
- 40,625
[emoji23] [emoji23] Toto kavaa pampaz, kaloweshwa
[emoji23] [emoji23] Toto kavaa pampaz, kaloweshwa
Toto maji yamewazamisha, chezea mto Ruvuma wewe
Samtaimu mpira hautabiriki[emoji23] [emoji23] Toto kavaa pampaz, kaloweshwa
Kweli asee, hata mimi hapo hela yangu ingeenda mchana kweupe!!!Samtaimu mpira hautabiriki
Ndiyo maana sijawahi kubet
...........
Lakini baso Majimaji ndo vibonde wa ligiToto maji yamewazamisha, chezea mto Ruvuma wewe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wamemwokoa mutu ya Kongo kuvua nguo [emoji28][emoji28][emoji28]
Nmelike mara sita hii ishu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
na wana LiZombe[emoji23] [emoji23] Toto kavaa pampaz, kaloweshwa
mara ya mwisho ume unlikeNmelike mara sita hii ishu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23]mara ya mwisho ume unlike
Njaa!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Labda njaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Wanatiririka eeeMajimaji vibonde km jina lao
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kumbe, nilidhani utavua nguo ukaogeAzam hashindi!!! Azam akishinda navua nguo!!!..........navua nguo naenda kuoga!!![emoji4]
Ze buku
Umeanza kuoga lini?Maskini Leo siogi[emoji134]
Wameshindwa kunywa eeToto maji yamewazamisha, chezea mto Ruvuma wewe
kuna anaweza kupost emoj kubwa kama zangu humu JF??Ze buku
Tuma na aina nyingine tujuekuna anaweza kupost emoj kubwa kama zangu humu JF??![]()