Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,296
- 68,376
1998 - Kiongozi wa zamani wa Chile, Augusto Pinochet anakamatwa huko London baada ya Spain kutoa warrant ya kukamatwa kwake kutokana na kuua watu wasio na hatia enzi ya utawala wake.
Heko kwao kwa kazi zao nzuri zenye maudhui mazuriLeo katika Historia:
1923 - The walt disney company yaanizhwa huko California na ndugu wawili ambao ni Walt Disney na Roy Disney.
Mse.scorpion [emoji2] [emoji2]Wewe ni mse.nge?
1934 - Maandamano ya Kikomunisti yaanza huko China na kudumu kwa mwaka mzima kabla ya Mao Zedong kuibuka na kupewa Uenyekiti wa chama hiko.
Tusipokuwepo isiwe sababu ya uzi kudoda[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
Mwanga wa milele azidi kumulikiwa1890 - Maria Goretti anazaliwa.
Alikuwa ni mtakatifu toka nchini Italy.
1945 - Shirika la Kilimo na Chakula Duniani ( FAO )laanzishwa huko Canada.
Morning, Morning famileSalam wakuu, habari za j'pili?
1951 - Waziri Mkuu wa Kwanza wa Pakistan, Liaquat Ali Khan anauwawa.
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/15229438Hongera kwa wananchi kuua Panya road.
Uchumi unanyauka mvua zimechelewa eeh?
Nasikitika kwa District hospital like Mwananyamala kuwafanyia hivyo malaika wetu 7in1 not right
Mimi timu wattfordEti wewe ni team Leicester