shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
Omba Mungu sasaEverton samewakazia balaa
[emoji12] ila mimi nataka mfungwe..
Hawezekani muwe mna mapoint mengi hvyo. Bora mpungue hata tulingane lingane
Omba Mungu sasaEverton samewakazia balaa
[emoji12] ila mimi nataka mfungwe..
Hawezekani muwe mna mapoint mengi hvyo. Bora mpungue hata tulingane lingane
Unapigwa weweTumekosa penati De Bryune
Moyes mpaka stoke city anamuoshea balaaaMoyes chali Vibaya sana
mutu ya kongo ana haha na man cty yakeDe bruyne amekosa penalty
Man city 0-0 Everton
Waacha! Game dk. 90 Remember!!![emoji12]Unapigwa wewe
laZima wakae cityUnapigwa wewe
Leo lazima atafukuzwa tuMoyes mpaka stoke city anamuoshea balaaa
Lazima iwe hivyo mbele ya kichuya tena?Mpaka ubingwa bila kufungwa
Ngoja Berkeley aingieWaacha! Game dk. 90 Remember!!![emoji12]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]Lazima iwe hivyo mbele ya kichuya tena?
Hiyo record niya arsenal tuLazima iwe hivyo mbele ya kichuya tena?
Chelfix kashinda 3 - 0Gemu la Chelsea vipi waungwana
[emoji23] hii ni gemu sasa ya 8 hajashinda hata mechi mojaLeo lazima atafukuzwa tu
Leo kazi unayoWaacha! Game dk. 90 Remember!!![emoji12]
[emoji52] [emoji53]mutu ya kongo ana haha na man cty yake
Tunaivunja ya aseno tunaweka ya SIMBA tu ila msimu wa 2009 nadhani ilitokeaHiyo record niya arsenal tu
Anatimuliwa huyu aisee[emoji23] hii ni gemu sasa ya 8 hajashinda hata mechi moja
Duuh! Hii inashuka daraja hata ifanyejeAnatimuliwa huyu aisee
Baba vipi? matokeo yanasemaje?[emoji52] [emoji53]