Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Kwel kabisa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hata nusu msimu badoMsimu wa 2010 simba sc ilinyakua ubingwa wa tanzania kwa point 56 ikiwa imeshinda mechi 18 na kudroo mbili (2)
Hii ilikua mara ya kwanza kwa klabu ya tanzania kuchukua ubingwa wa ligi kuu bila ya kupoteza mechi hata moja
Simba ilikua imebakiza mechi mbili kumaliza ligi
Oziliiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Mpemba huyo
Wameponea chupu Chupu, karibu timu zote zilizocheza jioni hii
Lazima wapigwe tuHata nusu msimu bado
Wapo vizuri lakini wanapigwa tu
......
Draw dayWameponea chupu Chupu, karibu timu zote zilizocheza jioni hii
Tutarudia rekodi yetu hakuna wa kutuzuia [emoji125]Hata nusu msimu bado
Wapo vizuri lakini wanapigwa tu
......
Rashid FordMpemba huyo
Hayo maombi hata ukiyafanyia mt. Kilimanjaro Mbwana Sammata hawezi kishinda.Mbwana samatta anaechezea ligi kuu ya ubelgiji na timu ya Genk ametajwa kwenye orodha ya majina ya wachezaji watakao wania tuzo ya mchezaji bora wa afrika.
Tumuombee samagoal77
ExactlyTutarudia rekodi yetu hakuna wa kutuzuia [emoji125]
UmenifurahishaHayo maombi hata ukiyafanyia mt. Kilimanjaro Mbwana Sammata hawezi kishinda.
Hii tuzo ni ya Aubameyang tu, hana mpinzani kwa sasa Africa