Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimekutana na hii sentensi mutu ya kule jamhuriii ya kooungo kwamba mtoto wako anae 17? [emoji15]

Naomba na mimi nikupe heshima yako shikamoo baba

je mutoto yako ako na jinsi ngani?
Weeee
1476541687063.jpg
muheshimu baba ako, maswali mengine yawe na mipaka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Naona wanakaza, washamtegua Sterling hapa! Huyu ni Coleman ananitegulia Sterling
Everton samewakazia balaa
[emoji12] ila mimi nataka mfungwe..
Hawezekani muwe mna mapoint mengi hvyo. Bora mpungue hata tulingane lingane
 
Back
Top Bottom