OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,310
Cheeee! ! Uo upaja...
Cheeee! ! Uo upaja...
Hahahahaahah bwana Ngolo Leo anapambana na nduguzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ile ukiichukua uhakikishe unaitumia sio zaidi ya siku mbili, la itakuozea unaonaHainaga soko
Naona Costa anaomba Sub kwa hasiraHahahahaahah bwana Ngolo Leo anapambana na nduguzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo yamebadilika ninNaona Costa anaomba Sub kwa hasira
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Moses kaona mweziMosses amerupia cha 3
Chelfix 3-0 Le,sister
Wachezaji wanakimbia mpaka ulimi unataka kuanguka[emoji23] [emoji23] [emoji23] mambo yamebadilika nin
Hv ndo goal lake la kwanza hili?Moses kaona mwezi
Ndio la kwanza hiloHv ndo goal lake la kwanza hili?
Hv partshuai ni majeruhi nini?Ndio la kwanza hilo
DuuhIle ukiichukua uhakikishe unaitumia sio zaidi ya siku mbili, la itakuozea unaona
[emoji23] [emoji23] [emoji23] tabid Conte afanye namna kuokoa jahaziWachezaji wanakimbia mpaka ulimi unataka kuanguka
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ni kama la pili ivi nadhan.Hv ndo goal lake la kwanza hili?
Watu weusi haooo katika ubora wetu. Utafikiri mashindano ya kuonyeshana six packs. Hovyo sana sisi watu weusi.
Hapa tupo na Everton ngoja tuwafirigise machungu ya Tottenham tuyapunguzeNaona unaongoza
Nakikanda kisivimbe[emoji125]Asivimbe kichwa
Umeona mvua za kipigo?Nakikanda kisivimbe[emoji125]
ThubutuHapa tupo na Everton ngoja tuwafirigise machungu ya Tottenham tuyapunguze
Nimekutana na hii sentensi mutu ya kule jamhuriii ya kooungo kwamba mtoto wako anae 17? [emoji15]17 4m 4 now