Makapuku Forum

Makapuku Forum

1476169_794598110554609_1713309743_n.jpg
 
Leo katika Historia:

1940 - Lluis Companys ananyongwa.

Alikuwa ni Rais wa jimbo la Catalonia ( Katalunya ), Jimbo ambalo linapigana ili kujitenga na Spain.

Alinyongwa kwa amri ya Dikteta wa Hispania, Jenerali Fransisco Franco wkati wa vita vya wenyewe kwa wenyewe.
 
1966 - Black Panther Party yaanzishwa na Huey P. Newton na Bobby Seale.

Ni chama kilichojishughulisha na Harakati za kupigania haki za mtu mweusi.

Wakati kinaanzishwa, Mkurugenzibwa FBI wa wakati huo Edgar Hoover alidai chama hiko ni hatari kwa usalama wa ndani wa Marekani.
 
Utata wa picha
Moja ana jeraha na kipara
Nyingine akiwa kwenye jeneza ana nyqwle na kakovu
Zote akiwa kafa
......
.
Nimefatilia baadhi ya vyanzo mbalimbali vya habari, nimeconclude kifo cha Rommel kina utata sana, hakuna jibu sahihi jinsi alivyofariki.

Basi hata maiti yake kuwa na utata ni matokeo ya utata wa kifo chake nadhani.
 
Back
Top Bottom