Makapuku Forum

Makapuku Forum

Habari wana JF
Habari Makapuku wenzangu
Matumaini yangu wote mko poa kabisa.

Uzi huu ni kwaajili ya makapuku wote. Lengo ni kujadili changamoto zinazotukabili, pia Kupeana support katika mambo yetu hapa JF. Tupeane mbinu za kukabiliana na mambo yote humu.

Makapuku natumaini nyote tutashirikiana katika jambo hapa JF. Bila kumsahau founder wa makapuku Bitoz shukrani kwake

Karibu sana makapuku katika mjadala. Wengine nitawaongeza hapo baadae.

Karibu sana

Bitoz
JF Makapuku Founder

Jimena
JF Makapuku assistant Founder

Th Name JF Makapuku assistant Founder
Una akili kuweka hili jukwaa
 
IMG_20161013_201142.jpeg
IMG_20161013_201126.jpeg
IMG_20161013_201105.jpeg

Chelsea yasaini [emoji818] (Nike)
15 yrs mkataba kuanza next season
...........
 
Back
Top Bottom