Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Jamani...Dj mzima? naomba tafadhali kabla huja sign out tupia mambo basi......[emoji22]Kaka mzima?
Jamani...Dj mzima? naomba tafadhali kabla huja sign out tupia mambo basi......[emoji22]Kaka mzima?
Tupo nao, Hao ni wazee wa baraza
Haha tupo mkuu tunachangamsha jukwaa
Niko poa mimi[emoji4]!! hofu kwako tu Brizeeww[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] niaje sweetie?
Hiyo ni Photoshop au maigizo tuNa huyu aliyepiga picha ni denti itakuwa![emoji16]
Diego mafujo kakukosea miniSafi sana..
Mshahara lazima niongozweView attachment 417555in Diego Costa voice
Mimi nawakubali sana Adidas halafu ndio Nike.Nike na Adidas wanaviziana tu
Hata kwa Man Utd Adidas hii ni mara ya pili kuwepo pale
Hata ArsayNO mmojawao atarudi
......
Jamani...Dj mzima? naomba tafadhali kabla huja sign out tupia mambo basi......[emoji22]
Michirizi yao mitatu ndo inaniboaMimi nawakubali sana Adidas halafu ndio Nike.
Karibu ndugu, afu ulishatuzoesha ule mpangilio mzuri wa burudani ya mziki.... Tumezimisi piaSalamu kabisa ndugu yangu, nafurahi sana kuwaona wazima.
Juma Pondamali Mensah ( JPM )Juma Papai Mapunda[emoji15]
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Nipake makalioni kwani napapaswa?
Ni uchafuzi wa boxer
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Basi tuKwa nini
Mi niko poa shem wanguNiko poa mimi[emoji4]!! hofu kwako tu Brizeeww
Anamtafuta kimalioDiego mafujo kakukoea mini
Unamuandama sana
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
......
Leta vituHaahaaa, ntajitahidi mama wala usijali.
ADIDAS = All Days I Dream About Sports.Pesa ndo kila kitu
Mimi michirizi ile mitatu ya Adidas sipendi japo wanatoa jezi nzuri
.......
Wameharibu msimu huu kuweka mistari kwenye mbavu badala ya mabegani.Pesa ndo kila kitu
Mimi michirizi ile mitatu ya Adidas sipendi japo wanatoa jezi nzuri
.......