makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Huyu wa kulia anafaa kuwa captain kabsa wa vitambi fcView attachment 416757Ten packs
.......
Huyu wa kulia anafaa kuwa captain kabsa wa vitambi fcView attachment 416757Ten packs
.......
Dah!! Maisha haya..View attachment 416762Dogo jembe
.....
Weka pichahizi Ni dalili za uchochezi
Kwahyo barthez ndio ameanza kusugua benchi kisa goli la kichuya.. Bongo wacha paitwe bongo..View attachment 416767Ndala XI
.......
Hyo nayo point kichiz.. Mtu 32 years anaishi kwa shemej yake.. Sasa wote si mmeolewa.. [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Bitoz lini unatahama kwa shemeji yako(aliyemuoa dada yako) ili ukaanzishe maisha yako ya kujigegemea.
[emoji2] maana sasa hivi una 32 years
Chupu Chupu iko wapi hapo?Mmeponea chupi chupi(chupu chupu) leo yanga sc
Hujaambiwa kwa jimama, umeambiwa kwa shemej yako.. Wacha ku"nike nike" maneno hapaAcha majungu sihami ng'o nipo kwa jimama
Sijafikisha 30yrs na kwahiyo siyo babu kivile
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
... ...
Anasema anaishi kwa jimamaHyo nayo point kichiz.. Mtu 32 years anaishi kwa shemej yake.. Sasa wote si mmeolewa.. [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hi inaitwa O pack
Nani huyo kakosa penalti!?View attachment 416830Simba anaongoza [emoji637] na pia wamekosa penati
......
Moja kati ya striker bora kabisa kwa kizazi hiki..
Tena analijua inavyotakiwa ndio hvyo tuu uchawi nyota sijuiLewandowsky hapewi sifa inayostahili. Jamaa analijua goli.
Hapo sasa.. Mbane vizur aropoke ukweliKatibu mkuu ni partner wangu mbona sina taarifa??
Huki fresh mnoo jombaa..Huku ni kazi tu, niaje kigamboninho??
Huyu nae anatafuta kufia kwenye vifua vya wajukuu zake tuu[emoji2] mzee wa jimamaView attachment 416861
Wapo vizur kwa sasaMnyama anakula na habakizi hata mifupa
Akauue nguvu misuli ya dushelele, king kiba.Acha ubwege
niyarudie ili iweje
Km huna kazi kapige puli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Jimama wapi, ni kwa shemeji yake bhana, labda km kikwao shemeji ni jimama..[emoji23] [emoji23]Anasema anaishi kwa jimama