briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Hyo nayo point kichiz.. Mtu 32 years anaishi kwa shemej yake.. Sasa wote si mmeolewa..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





dah! Hili ni bonge la tusi..Hyo nayo point kichiz.. Mtu 32 years anaishi kwa shemej yake.. Sasa wote si mmeolewa..![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





dah! Hili ni bonge la tusi..Haha kala kona sasa..Hapo sasa.. Mbane vizur aropoke ukweli
Kama huielewi basi waachie wanaoielewahii forum hata siielewi,
Teh,Kama huielewi basi waachie wanaoielewa
Vip kamanda shululiSana
Mambo vpVip kamanda shululi
Ni kweliSiyo 7bu
Kiwango kimeshuka ht kipigo cha Stand alifungwa kizembe
Pia Yanga inakawaida ya kubadilisha makipa baada ya muda Fulani
Dida alianza kukaa benchi pinfi alipofiwa na mzee wake
.........
Ulikuwa bado fungate?Mambo vp
Bomba, kwema humuMambo vp
Hapana, kwani umeshasahau kuwa nilisema sikuoaUlikuwa bado fungate?
Wasiojua wamekusomajeGood night dear Kapukus (Kapuku nimeanza na herufi kubwa, wanaojua kusoma wamenisoma vema)
Kwema kabisa, karibu tena maana ulipotea sanaBomba, kwema humu
Maisha tu ndugu, ila soon nitaweka kambi kabisaKwema kabisa, karibu tena maana ulipotea sana
Hujaambiwa kwa jimama, umeambiwa kwa shemej yako.. Wacha ku"nike nike" maneno hapa

Hii mitimu ya Tanzania kila siku kubadili makocha kama nguo!!!Aisee Azam vipi, hawana haja na ushindi nini?
Kwa bahati nzuri makapuku wote ni vichwa sana. Usiku mwema Kapuku mwenzangu!Wasiojua wamekusomaje
Stand United yuko vizuri sana msimu huu.Wanataka wacheze kama barcolana mfumo
Msimu huu kwao mgumu halafu Stand Utd wapo form bado hawajapoteza mechi
.......
Stand United yuko vizuri sana msimu huu.
Ila Azam tuipe muda