Makapuku Forum

Makapuku Forum

2015 - Abdallah Kigoda anafariki Dunia.

Alikuwa ni Mbunge wa Handeni na Waziri wa nane wa Viwanda na Biashara.
Screenshot_2016-10-12-10-03-09.png
IMG_20161012_100412.jpeg
IMG_20161012_100402.jpeg

Mola amrehemu
.......
 
Duh!! Ilikuaje hii ama ilipangwa??
Ilitokea kwa bahati mbaya.

Mfano leo hii Lowassa awe anahutubia pale Jangwani halafu sisi tupo huku Katavi tunaangalia hotuba ile live kwa kutumia luninga, ghafla akapigwa shaba akfa huku tukiona live.

Au kama ile siku JK alipodondoka jukwaani pale Jangwani, watu walikuwa wanaangalia kupitia Luninga hivyo ikazua taharuki kubwa.
 
Back
Top Bottom