Kiwango chake kimeshuka halafu competition Premier League msimu huu imeongezeka labda afanywe BALL BOY ndo # atakayoimuduRooney kashauriwa aondoke man, lengo asiifikie record ya Bob
hahaha...kwahiyo ulikula kwa macho?Watoto wa vivogo na majina feki....
Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz + chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2] ulimshindwaje huyo? Hao wenye mbwembwe hao ni maji maramojaWatoto wa vivogo na majina feki....
Mimi nimebahatika kusoma pamoja na binti/mjukuu wake alikuwa anatumia jina halisi la NSUYA alikuwa ana mbwembwe anaendesha mkoko wao wa kishuana kuja nao Lushoto kutoka Dar halafu Semesta nzima anatambia hostel
Nilimvizia sana ni mrembo lakini andunje ana dimpoz + chura
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Pia ni mmoja kati ya wachezaji wanaotumia miguu yote miwili ipasavyo.
Alishinda kombe la dunia akiwa na mdogo wake Jack Charlton.
Naskia juzi wamemzomea sna.Kiwango chake kimeshuka halafu competition Premier League msimu huu imeongezeka labda afanywe BALL BOY ndo # atakayoimudu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Kichaa cha mapendo au? pia ni kichaa naskia..m[emoji39][emoji39][emoji39]Sasa kichaa kipi?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana aiseeSawa kichaa mwenzangu.
Huyu Rais aliniuma sana Historia yao...[emoji17][emoji17]NUKUU NO 1#
Ni vema kila taifa likafahamu, iwe ni taifa linalotutakia mema ama kinyume chake, kwamba tupo tayari kwa gharama yoyote
Kwa kubeba mzigo wowote, kwa kukabiliana na ugumu wowote, katika kuunga mkono au kupinga ili mradi tu kuhakikisha uhuru unatwaa nafasi yake popote
Maneno haya yalipata kutamkwa na aliyekuwa Rais wa Marekani, John Kennedy, January 20,1961
Kennedy alizaliwa Mei 29,1917 na kuuawawa November 22,1963
Watugawanyishie basi hizo pesaNUKUU NO 2#
Siasa mpya ya Bank ya Dunia ni kwamba maendeleo siyo tu majumba makubwa, viwanda vingi, magari mengi na fedha nyingi,
Bali ni umuhimu wa nchi kuona kuwa mali inagawanywa kwa haki na sawa kwa watu wote
Maneno haya yalipata kutamkwa na waziri wa fedha, David Msuya. October 2,1972 jijini Dar es salaam mara baada ya kurejea kutoka Uingereza na Marekani aliko hudhulia mikutano mbali mbali,
Msuya alizaliwa November 4,1931, amewahi kuwa waziri mkuu wa Tanzania
Ya ukichaa ama uchafu wa kwa mtogole??Yanakwepeka pia
Asante kichaa mwenzangu....[emoji39]Sina la ziada, nawatakieni siku maadhimisho mema ya siku ya vichaa
Nimeiona jirani shukrani...Nukuu ya leo itawajia hivi punde
Hakika ni yeye.View attachment 416362
Km sijakosea ni huyu niliona km wanafanana nikataka kuchanganya picha
........
Mi nilikula pesa zaoMkuu nimekula sana mabinti wa hao ndugu nusu niwe mario ila nishaacha huu ujinga.
Una undugu na miss chaggaNiaje kapukuzi
Mimi mkuu sikua nimepinda kivile ila naamini huu ukuni huku chini uliniweka kwenye game.Mi nilikuwa pesa zao
Wanapenda mabishoo...tunaazima tu hadi sandals ili tukang'oe matoto makali
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.......
Hiya inaitwa utaipendaWanatudiss ila wanakubali kiaina
KwakweliMaisha bila unafki hayaendi..
[emoji119][emoji119][emoji119] nimekusoma mkuu,.. mana nilidhani ni MISSION IMPOSSIBLESikumshindwa ndugu sema wanaume hawatangazi....hiyo ni kazi ya wavulana
[emoji3] [emoji3] [emoji3]
.......
[emoji4][emoji4][emoji4][emoji4][emoji28][emoji28]Humu kila mtu ni kichaa, ila vinatofautia scale,
Cha Quigley kimezidi [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]