Hapa si mahali sahihi kwa MTU kama wewesawa team facebook
Doooh !!! Nahrene hajatokea tu kweliiiii!!!!!!!!....... mwenyewe Leo kabanaNikifa njaa akirudi hatanikuta..
Mwanakamati pokea shukran zangu za dhati kwa kuweka hii mambo sawa naamini mpenzi wangu anatabasamu sasa..Cc amaizing hebu pita hapa uone mahaba yalivyozidi, yani ukipoteza nafasi hii.... Nakuhahakikishia kumpata wa aina hii itachukua muda hivyo muelewe tu, hakusema yale kwa nia mbaya
Waambie, jimena naye anataka hudumaNa nimsifu hajalaza damu na couple mpya sasa imeshapatikana kati Patience123 na jambilo
tatizo lako wewe mkali sana inamaana utani hujui na wewe
Mwenye bahati habahatishi! Hivyo we tulia tuone..Mapozi wakati mwingine yanakupotezea bahati siza00 yupo anakupenda mno
hapana mkuu jana nilikuwa nipo na mood ya kuwa na marafiki wangu wa mtaa tuKipimo kitakuwa cha macho tu....
hivi na jana pia ulikesha??
Mwenyewe nani?Doooh !!! Nahrene hajatokea tu kweliiiii!!!!!!!!....... mwenyewe Leo kabana
We like tuMbona empty comment
ni kweli ila matani ya huku ni malaaini kama maini sana ...Mkuu take it easy huku matani ni mengi sana...
Dah!We like tu
Sizza007 umeiona hii kweli changamkiaMwenye bahati habahatishi! Hivyo we tulia tuone..
We unatafuta nini humu ndani???duu umakapuku kweli nyie makapuku
Kwangu mie Jimena will come first before anythng n anybody, siwezi kula kama mtoto ana kiu
Siwezi lala kama mtoto ana hofu
Nitamlinda dhidi ya njaa, kiu, hofu, upweke, baridi, joto na unyonge.
Kwa jimea huyu ntasacrifice all just to see that beautiful smile on her beautiful faceπππ
Karibu mae..Aikambeee
Mwenyewe nani?
Hiyo ni zawadi ya ankali, kuolewa mi ndo ntalipa fadhila kwa kuolewawee anko haya matusi sasa au unataka na mimi niolewe