Potezea bhana
Mi sijamind coz mtu akikutajataja ht kwa ubaya anakupaisha tu huku yy akifikiri anakushusha
Mi nishasemwa vya kutosha...mwanzo iliniwia vigumu lkn sasa nishazoea ht mtu aanzishe uzi wa kunitukana namuignore tu siendi kujibizana nae 7bu najua mimi siyo level yao
...............