Hivi kafikisha 66!!!1950 - Jakaya Kikwete anazaliwa.
Alikuwa ni Rais wa awamu ya 4 wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Alipata kuhudumu katika Jeshi la Wananchi kabla kustaafu kwa cheo cha Luteni Kanali.
Yap mkuu.The Bold
...........
BarikiwaLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Mkwere. tukutane kesho.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We sema tu mall ya kwa wasukuma!![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Lakin kuwa rock city haimaanish wataingia wasukuma tu, wapo watu wa kabila tofaut mpaka la kina bitoz
Nilionaga sehemu.OK
Una kumbukumbu
......
Mdogo mdogo ndio mwendo, kwani hata Roma haikujengwa kwa siku moja.Duuu wa 85 wakati wengine ndo tuko 5????
SiasaMbona walistsaf mapema mnoo!!?
Makavel 10 mambo vp!Niliusoma ule uzi!
Uko poa!Morning Quigley
Niko poa kabisa, vp pande hizoUko poa!
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji736]Mdogo mdogo ndio mwendo, kwani hata Roma haikujengwa kwa siku moja.