Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Haya asante Hermana...View attachment 413013View attachment 413014View attachment 413015
Mpaka hapo basi sina la ziada kutoka katika meza ya magazeti....
Naitwa Jimena Jimenes kumbuka tu magazeti haya yaliletwa kwenu kwa hisani ya wa kimataifa kukodishwa rasmi.
Byebye
Quigley Arusha itakuwa baridi sana 17degrees? kama mko mamtoni vile.Naona umeamka na mwangwi
Mzee wa feki kaandika alipigwa risasi siku 1 baada ya kuapishwayap mkuu
Asante....hmmm huko zenji nikiishi nadhani nitaongezeka kilo kasi sana...[emoji39][emoji39][emoji39], nifundisheko kupika huo ulojo nausikiaga tu kwa watu.
Ni shwariz Boy
Ndo pa kwenda sasa...ukabadili na mazingira [emoji4]Urudi sasa jamani
Nimeyaona Gracias mi guapa...[emoji4]Morning all
Magazeti ya leo yatawajia hivi punde tu
Asante sana mkuu mussolinLeo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa Jimena Jimenes JJ, tukutane kesho.
Morning Shululu...Morning all kapuku
Tz wenyewe ni kutafuta Mkuyati[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na ni kadogo haswa hata sura yake inaonyesha.
Ndio hivyoooooh kumbe
Poa Ankali, vp kwa wanyaki hukoMorning ankali, umeamkaje?
Mukongo niajeeeMoningi mtu yote
Njaa kali iliyokithiri......unawaza nini ukiona PICHA kama hii??
Africa haswaa.........unawaza nini ukiona PICHA kama hii??
Morning jiraniMorning Family...!
Haaaahaaaa hatari hatariMzee wa feki kaandika alipigwa risasi siku 1 baada ya kuapishwa
Sasa huo mkataba alisaini lini?
Naomba ufafanuzi hapo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
..........