*Muhindi 1 alisilimishwa na shekh akamwambia kila unapokula usisahau kusema Bismillah la sivyo utakua unakula na shetani. Basi yule muhindi kuna kipindi alisahau kusema Bismillah kwa miezi 2 ,basi shetani akamfuata shekh akamwambia mkumbushe muhindi kusema Bismillah maana ataniuwa kwa pili pili!