Zungumzia na kufurahia waliopo sasa......Hii thread ni km daladala watu wanaingia na kutoka kwa utashi wao wenyewe
Hao usiwaona wapo humuhumu JF wanazururazurura na sisi tunaendelea na mambo yetu coz kila siku wanaingia wapya na hakuna anayewakumbuka waliosepa na thread inazidi kupeta tu
.......................
Zungumzia na kufurahia waliopo sasa......Hii thread ni km daladala watu wanaingia na kutoka kwa utashi wao wenyewe
Hao usiwaona wapo humuhumu JF wanazururazurura na sisi tunaendelea na mambo yetu coz kila siku wanaingia wapya na hakuna anayewakumbuka waliosepa na thread inazidi kupata
.......................