Ni kweli, lakini kama imesababishwa na sukari kupanda anaweza kupata ahuweni mapemaKawaida STROKE mtu haponi bali huwezi kukituliza tu ni miongoni mwa magonjwa hatari humfanya mtu apooze na kibaya zaidi ikiathiri ubongo unapoteza kumbukumbu na kuwa chizi(akili zinapotea)
NI ugonjwa unaotesa sana duniani na chanzo cha vifo vingi
Kwahiyo kiukweli Song kupata janga baya na huu unaweza kuwa mwisho wake
Tumuombee
.................
Yeap nimeonaNishapata data kamili km unavyoona hapo juu
............
Stroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONINi kweli, lakini kama imesababishwa na sukari kupanda anaweza kupata ahuweni mapema
Hii kapo naielewa hadi basi
Jembe la ukweli
Hapa akiwa na picha ya Marc Vivien Foe.....mmoja kati ya viungo jembe kutokea duniani(RIP)
.....
Kitu pekee kinachoweza kukufanya ukawa sawa hata kama ulipata stroke ni HypnotherapyStroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONI
Kupata nafuu ni kawaida tena unaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 lakini siyo kupona tena kinashambulia ubongo ndiyo maana wazee wengi "hamnazo"
Stroke na kisukari ni km mapacha
.......
Labda huko majuuKitu pekee kinachoweza kukufanya ukawa sawa hata kama ulipata stroke ni Hypnotherapy
Tatizo bongo haya mambo ni mageni sana
Embu nifafanulie hapa;Stroke huathiri "mfumo" siyo kiungo hivyo HUPONI
Kupata nafuu ni kawaida tena unaweza kuishi hata zaidi ya miaka 10 lakini siyo kupona tena kinashambulia ubongo ndiyo maana wazee wengi "hamnazo"
Stroke na kisukari ni km mapacha
Chanzo kikubwa cha stroke /kijarusi ni shinikizo la damu japo pia mambo mengine yanachangia
.......
MkuuSasa mbona unakimbia
Good morning family...!!!!!!!
Kati ya beyonce & jay zee na hi ya Kim & Kanye west, ni ipi unaikubali zaid hapa?Hii kapo naielewa hadi basi
Angel Nylon mambo!
Stroke= EnglishEmbu nifafanulie hapa;
Nini tofauti ya stroke, ku-paralyse au kiharusi?
Je hivyo vyote vina maana moja au Viko differ?
Mzee jangala ulikuwa hujambo!...in haya voice..Makapuku hamjambo?
Bongo pia wameanza kufanya, ila tatizo wagonjwa wenyewe wanapelekwa wakishashindikana huko ambako wenyewe wanadhani ndio bora, hivyo inatumia muda mrefu.Labda huko majuu
Halafu iwe haijakuathiri sana
HumuBongo ni mwendo wa kaburini tu
..........
Huku bongo ikishakudaka unarudishwa nyumbani ukajiuguze mpk kifo kitakapokuchukua.Labda huko majuu
Halafu iwe haijakuathiri sana
HumuBongo ni mwendo wa kaburini tu
..........
Yes sir!Stroke= English
Kiharusi= Kiswahili
Kuparalyse = Hali ya kutoweza kujongea/movement/kupooza
Umeelewa Kikofia?
.......
Hapo nimekuelewaBongo pia wameanza kufanya, ila tatizo wagonjwa wenyewe wanapelekwa wakishashindikana huko ambako wenyewe wanadhani ndio bora, hivyo inatumia muda mrefu.
Kwenye Hypnotherapy wanachofanya ni kuamsha zile gland ambazo zina shida na kulazimisha bio electric ifanye kazi ipasavyo mwilini, bio electric ikishamudu kurudi katika ubora wake na ndio hapo utaona mgonjwa anapona
Ni process ila 90% inafanikiwa.
Pia nadhani wengine wanashindwa sababu gharama zake ziko juu