makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,995
- 104,504
Hata mie najua hvyo!! Au labda waliaacha baadhi ya maeneo kwa ukumbusho!!Si ulivunjwa!.....au?
Tutapitisha shaba hapo bandarini hivyo kuwapa mtonyo! naona bandari yenu imekauka bidhaa
Ndo maana huwa hukai sana home...Haaaahaaaa, hapana mimi ni mzuluraji tu
Haya mambo yanatokea bongo tuu.Kuna jamaa alilima yameharibika hadi huruma na aliinvest milions of money
Hizo mpaka uende TIC.....Nina bilioni 4 nitapata eneo la hutu tuela
Nikikonyeza kwa pempeni namuona beyonceangalia hii kama unafumba macho hivi,sema unaona nini cha tofauti
Kumbe ndio huwa unafanya surveyHaaaahaaaa, hapana mimi ni mzuluraji tu
Hhmm.. Ntakutafta mkuu, nifanye walau kukutembelea kwanza kabla ya yote.400,000 kwa heka
Brizeeeeeeeeee.....welcome my shem. Sio kwa kukumiss hukuAmeen, amiin, amina
Hiyo sura ya juu ni jini huyo....so mie jini au...Namuona sweetiepie
Maskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..Najiskia kulia aisee.. Mi tikiti langu ndo linatoa maua
She-male...heeee!Namuona sweetiepie
Akijenga usiku, asubuh kumelipuliwa na bomu..Jenga kwenu goma kwanza...ndo ujemge na bongo
Fresh sana The book, umekivaa kiatu cha kikapuku size yako na kimetosha kabisa yani unawakilisha vema sana hili chamapoa vepe
Sasa hivi mzinza amebana sana, so safari zimepunguaNdo maana huwa hukai sana home...
Huwa nachukia idea yangu...ifikiriwe na wengine pia mwishowe mnakuwa kibao!!!!!Nilitaka kulima vitunguu kuanzia mwakani mwezi wa pili, bahati mbaya sasa hivi kila mtu anataka kulima vitunguu, sitaweza tena
Aya, ivi yule mzee wenu wa kimasai aitwae Ole..... bado yupo?Hizo mpaka uende TIC
PoaHhmm.. Ntakutafta mkuu, nifanye walau kukutembelea kwanza kabla ya yote.
Maskin wee.. Ila pambana mkuu si lazma mambo yafanane, muhusishe mungu unaweza okoka..
Yakigoma kutoka itabidi tukupoze kidogo halaf tufanye KF WATERMELON PARTY tuyale mpaka yaombe poo