makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,920
- 104,212
Vipi tena mutu ya kongo.. Kausha braza, mambo madogo tu hayo.Hamna cha kujistukia wala nini, umejaa maneno ya shombo af watu huwa wanakuchora tu, sema wanakupotezea for the sake of otherz!!! Jifunze kuishi na watu, kuwaheshimu n.k
Watu kukaa kimya sio uwaone mabwege.
Me nimemaind coz hamna mtu awaye yeyote anaweza kuisukuma hii thread alone!!!
Kizimkazi Zanzibar nendaNipe jina because sijaziwona
Vipi bei zake zinakwenda kwa sh ngapi!?Nina maanisha kwa wale wanaopenda kuwekeza kwenye ardhi;
Kununua shamba kwa malengo ya kufanya kilimo na ufugaji, kuja kuuza baadae, au kununua viwanja vya kujenga.
Huku wenyeji bado hawajashtuka sana, watu wakuja ndo wanachangamkia fursa sana
Yeshaisha yakheeeeeVipi tena mutu ya kongo.. Kausha braza, mambo madogo tu hayo.
Sikuwa serious
Niliongea kiutani
Mfano huwa tunataniana "bwege" n.k
Sorry km nilikukwaza
......................................
Nataka nipeleke huko sherry, amezoea mno tiles na vigaeKizimkazi Zanzibar nenda
Vyura!! Wa snura au!!?Km vipi tumshauri ufugaji wa vyura
......
Yamekuwa mengi sokoni kuliko mahitaji!!Naskia Tikiti imeliza watu sana miezi hii ya June na kuendelea
Naona jiniangalia hii kama unafumba macho hivi,sema unaona nini cha tofauti
Mdada ana-smileangalia hii kama unafumba macho hivi,sema unaona nini cha tofauti
But this is not a girl (cf.moustache). Picha na ujumbe haviendani na nitakuwa na wasiwasi sana na urijali wa mwanaume anayelala namna hii
Picha ya ajabu sanaangalia hii kama unafumba macho hivi,sema unaona nini cha tofauti
Nashkuru..nimekuelewa vizur sana, japo viswali vidogo vidogo havikosekani, siku nyingne ntakuswalika.Ujerumani zilitengana mara tu baada ya kumalizika kwa vita kuu ya pili ya dunia hapo mwaka 1945.
Chanzo kikuu ni Ujamaa na Ubepari.
Ujerumani Mashariki wakafata mrengo wa Kijamaa.
Ujerumani Magharibi wakafata Ubepari.
Na ukumbuke Dunia ulikuwa inapitia kipindi kigumu baada ya kumalizika kwa vita kuu ya dunia, kwani kuliibuka pande kuu mbili zenye nguvu hali iliyopelekea kuibuka kwa vita baridi kati ya Urusi ( Wajamaa ) na Marekani ( Mabepari ).
Uhasama wa Ujerumani Magharibi dhidi ya Ujerumani Mashariki ukachagizwa zaidi na Ujenzi wa ukuta maarufu wa Berlin. Ukuta uliozitenganisha nchi hizo.
Ukuta ambao ulisabibisha maelfu ya watu kupoteza maisha au kubaki na ulemavu wa kudumu pale tu walipojaribu kuvuka kutoka upande mmoja kwenda upande mwingine.
Hali hiyo ilienda mpaka mwaka 1990 pale ambapo Ujamaa ulipodondoka huko Urusi, na kusababisha Ujerumani Mashariki ikose misaada toka kwa Wajamaa hivyo wakaona ni bora waungane na kurudi kama zamani na kuwa Ujerumani moja.
Lakini katika utengano huo, Ujerumani Magharibi ndio iliyopiga hatua kimaendeleo zaidi wakati wa utengano wao kuliko Ujerumani Mashariki.
Pia katika kipindi hiko cha 1945 - 1990 kulizuka Vita maarufu ya Vietnam, Kati ya Vietnam ya Kusini iliyofadhiliwa na Wamarekani dhidi ya Vietnam ya kaskazini iliyokuwa inaungwa mkono na Warusi.
Pia katika kipindi hiko cha 1945-90 ndipo kulipoundwa umoja wa Nchi zisizofungamana na upande wowote ( NAM ) lengo ni kutojitenga na upande wowote.
Hivyo basi, Utengano wa Ujerumani ulisababishwa na hali ya kutoelewana kati ya Ujamaa na Ubepari.
Nasi tunapokea salam zako katika jina la bibi!!Nawasalimu wote katika jina la Bwana.
Amiin!!Nawasalimu wote katika jina la Bwana.
Fresh sana jamaa!!Vipi mkuu