Makapuku Forum

Mambo toz? uniwie radhi naanzaje kwenda vingongo forum[emoji46]....Makapuku is more than a family aisee! nilikuwa naumwa umwa kidogo ila nimerudi tena kama kawa.
Dustbin Forum
[emoji117] [emoji208]sir anapost upuuzi tu na kuitaita majina
Hakuna anayewasimanga
Kazi yao kutusemasena sisi hapahapa au kutuanzishia thread za kutuponda
Hawana swaga wala ubunifu

Kweli mti wenye matunda ndo hupigwa mawe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Wana wivu tu hawana lolote[emoji2][emoji2], mi sikuwa nimeingia JF kwa ujumla.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…