Makapuku Forum

Ht siku Yanga tunapigwa 5 Mafisango alitupia 3 kulikuwa na penati 3 za magumashi + 2 red cards lakini hatukung'oa viti
Hatupendagi ujinga sisi
............
 
Vipi kuhusu hii[emoji116] na hii[emoji116] hamuoni kwamba mlikuwa mnabebwa[emoji116] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Weka picha[emoji41]
 
Vipi kuhusu hii[emoji116] View attachment 410695na hii[emoji116] View attachment 410696hamuoni kwamba mlikuwa mnabebwa[emoji116] View attachment 410698[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Haikuwa offside kwani kuna mtu kabisha?
Na Tambwe alishika kabla ya kuweka chini mpira na kutupia

Mbona mambo hayo hutokea ht Ulaya juzijuzi Manchester Derby mwamuzi kakausha penalty mbili na Man Utd kupigwa 2:1 tena old Trafford
Nani aling'oa viti?
.........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…