Makapuku Forum

Kweli muosha huoshwa,
Japo dhambi haifutwi kwa dhambi, mwaka 2002 mei 31, Madaraka Seleman anawafunga Yanga bao kama la tambwe leo, na mwamuzi Omary Abdulkadri anasema weka kati,
Rais wa zaman wa Yanga yaani Tarimba Abasi Tarimba, aliamuru timu itoke uwanjani, lkn hawakutoka, simba walishangilia wakati Yanga wanalia,

Leo zamu yao wao wanang'oa viti wakati Yanga walishangilia, najua wengi mtakuwa mmesahau!

Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…