Makapuku Forum

simba wanafurahi sare,yanga tumemaind,nani kibonde?????
Acha unazi
Sare ina impact kubwa kwao 7bu wamecheza pungufu imewaongezea kujiamini mechi zijazo itakuwa ngumu kupoteza

Pia gap limebaki pts 6 ingawaYanga ana mechi moja mkono ni

Kosa kubwa la Yanga ni kuzembea KUUA MECHI mapema
Tusipoangalia msimu huu ibingwa tutakosa

Chambua mpira siyo unazi tu
..................
 
nimeuliza ilibidi unipe jibu kwamba ni simba au yanga.ujadili swali sio mechi ya uwanjani
 
simba wanafurahi sare,yanga tumemaind,nani kibonde?????
Inaonekana ww ulisikiliza mpira kwenye radio, hivyo matukio mengi hukiyashuhudia.

Bora ni yupi hapa;
Bora ni yule aliuecheza pungufu uwanjani akatoa droo?

Au bora ni yule aliyecheza uwanjani wakiwa wametimia na wakatoa droo?

Embu acha ushabiki alafu fikiria kwa umakini.

Simba wako vizuri sana msimu huu hvyo mpe hongera yake
 
umeulizwa swali toa jibu kwamba ni simba au yanga acha kukurupuka
 
Jibu: kibonde ni Yanga

Kwa sababu amefungwa mechi moja tokea ligi ianze

Huku sisi tukiwa hatujangwa mechi hata moja tokea ligi ianze.

je una swali lingine?
Mi mwenyewe simuelewi
Mimi Yanga damu lakini mpira hauchezwi chumbani

Simba wapo vizuri wamefanya usajili wa maana halafu wanacheza kitimu

Mechi ya leo Yanga ni km tumefungwa
....................
 
Mi mwenyewe simuelewi
Mimi Yanga damu lakini mpira hauchezwi chumbani

Simba wapo vizuri wamefanya usajili wa maana halafu wanacheza kitimu

Mechi ya leo Yanga ni km tumefungwa
....................
Hata mimi ni shabiki wa Real madrid lakini nakiri kwamba Barcelona wako vizuri sana msimu huu.
Na madrid ana kazi ngumu sana kumshinda huyu jamaa.

Nb: Ukwel humuweka mtu huru
 
Hata mimi ni shabiki wa Real madrid lakini nakiri kwamba Barcelona wako vizuri sana msimu huu.
Na madrid ana kazi ngumu sana kumshinda huyu jamaa.

Nb: Ukwel humuweka mtu huru
Pia Mustapha siyo kipa mngepeleka mashambulizi mngefunga nyingi....hata mechi v Stand kafungwa kiulaini
Sijui kwanini Dida hapangwi
.............
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…