jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,902
usiandike tena kichuya,subiri goli
Akifanya jambo itabidi nimwandike
usiandike tena kichuya,subiri goli
refa wa kifwala sana huyu..Mungu hawasaidii watu wanaofanya upuuzi
Nidhamu siri ya mafanikio
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
........
kwani uwanjani yupo peke yake??acha hizooooooooAkifanya jambo itabidi nimwandike
jonax yupo wapi?refa wa kifwala sana huyu..
Tumefunga goal anasema off side
Bado mmefunga goal la mkono na kalikubali
[emoji37] [emoji37] [emoji37] [emoji37]
kwani uwanjani yupo peke yake??acha hizoooooooo
mbona huandiki tambwe???????????Yeye anafanya poa zaidi
nani mavugo????????????Hafai kuuchezesha huu mpira
nani mavugo????????????
[emoji41] unahitaji matusi wwjonax yupo wapi?
mbona huandiki tambwe???????????
nauliza tu,mishe vipi lakini???[emoji41] unahitaji matusi ww
tuliza munkari[emoji19][emoji19][emoji19]Tambwe ananihusu nini mimi?
Mustapba maandaziManinaaaaaa
Kona imeingia ye yeweeeee
Goliii