briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Haha toa ahadi iliyo ndani ya uwezo wetu banaYanga akishinda Mnipige BAN
Haha toa ahadi iliyo ndani ya uwezo wetu banaYanga akishinda Mnipige BAN
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niaje man?Usitoe.. Jumlisha kabisa
Briz wewe ni chama gani la mpira, hapa Tzii na mamtoni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niaje man?
Ndio hiyo mkuu.Haha toa ahadi iliyo ndani ya uwezo wetu bana
Ebhana, ni poa ndugu yangu.. Vip hali!?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] niaje man?
Haha mbele ni man u mda mrefu ila tangu babu aondoke nilibadilika nikaanza kuipenda city na bongo nna mahaba na msimbazi.. hata hivyo mi si mnazi sana wa mpira[emoji4]Briz wewe ni chama gani la mpira, hapa Tzii na mamtoni
Hiyo haina mashiko bana, haiko applicableNdio hiyo mkuu.
Ni njema sana bob, wikend wap au ndo tabora moja?Ebhana, ni poa ndugu yangu.. Vip hali!?
Haaaahaaaa Man cityHaha mbele ni man u mda mrefu ila tangu babu aondoke nilibadilika nikaanza kuipenda city na bongo nna mahaba na msimbazi.. hata hivyo mi si mnazi sana wa mpira[emoji4]
Duuuh...Hiyo haina mashiko bana, haiko applicable
KikaangoKwenye nini
Haha vp kwani?Haaaahaaaa Man city
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15] we ni timu gani imeiba moyo wako mkuu?Man city kiazi tu
Wale ni wapinzani wa jadi, afadhali hata ungehamia TottenhamHaha vp kwani?
Niliboreka mkuu, sikujali sana ndo mana nmekwambia mi si mnaziWale ni wapinzani wa jadi, afadhali hata ungehamia Tottenham
Nimekusoma AnkaliNiliboreka mkuu, sikujali sana ndo mana nmekwambia mi si mnazi
[emoji2] hawawezi kutoa hawaNa wao watoe ahadi