Hivi ule uzi aliuweka jukwaa gani vile?Nenda kamkumbusha kichokozi
........
SportsHivi ule uzi aliuweka jukwaa gani vile?
NUKUU NO 1#
Kuna mambo sahihi na ambayo sio sahihi yametamkwa mahakamani. Kamwe siwezi kukanusha kuandaa mipango ya hujuma
Na kwa kweli sikuandaa mipango hiyo eti kwa sababu ni mtukutu au mpenda fujo.
Nilipanga mipango hiyo baada ya kutafakari sana kwa utulivu hali ya kisiasa iliyopo ambayo imechangia ukandamizaji wa muda mrefu uliokuwa ukifanywa na watu weupe dhidi ya watu wengine wema
Ni kweli mimi ni mmoja wa walioanzisha Umkhonto we sizwe (kikosi cha ukombozi kilichoitwa mkuki wa Taifa)
Na nilishiliki kuendesha operesheni zake kadhaa hadi nilipokamatwa Agosti 1962.
Maneno haya yalisemwa na mzee Nelson Mandela, April 20,1964 katika hotuba yake "I am prepared to die" ( nimejiandaa kufa)
Nelson Mandela alizaliwa Julai 18,1918 na kufariki Dunia Dec 5,2013
NUKUU NO 2#
Viongozi hawana budi kuamua ni upande gani wanaosimamia na kama wapo upande wa wafanyakazi na wakulima, hawawezi kujiweka kando katika shughuli za wananchi
Haya yalipata kutamkwa na katibu wa TANU mkoa wa pwani, Kingunge Ngombale Mwiru, mjini Dar es salaam mwaka 1971
Kingunge alizaliwa Mei 30,1930
Itachukua hata 20 yrs kuanza kutumikaView attachment 409124Wazinzi mpo?
.......
Kwa hiyo yeye ni Hindu, Anaabudu Krishna?View attachment 409139View attachment 409140View attachment 409141
Aged 86 yrs
Hana dini sijui anaabudu NG'OMBE
...........
Ila yuko sahihi sanaView attachment 409139View attachment 409140View attachment 409141
Aged 86 yrs
Hana dini sijui anaabudu NG'OMBE
...........
NUKUU NO 3#
Kuna kazi kubwa kwa kila mmoja wetu.
Mpango huu ni wa muhimu sana hata kushinda nchi hii kupata uhuru wake.
Kwa mpango huu na mipango mingine, tunaweza kupata uhuru dhidi ya umaskini wa nchi hii sasa
Hili ni tangazo la vita na kila mmoja wetu ni askari, silaha zetu ni mikono yetu na bongo zetu. Risasi zetu ni utaratibu na ari yetu
Maneno haya yalipata kutamkwa na Rais wa kwanza wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mwalimu Julius Nyerere Mei, 1964 akizungumzia mpango wa miaka mitano wa maendeleo ya Taifa, Mwalimu alizaliwa April 13,1922 na kufariki Dunia Oct 14,1999
"ile nchi inaendeshwa kwa rimoti"Inamaana firimason walijua atakuja kuzaliwa Kennedy awe Rais baada ya miaka mia ya Lincoln?
Jibu analo yeyeKwa hiyo yeye ni Hindu, Anaabudu Krishna?
"kwii kwiii" ukisoma google utajua kuwa wapo au hawapo"...najua huendagi kanisani wa msikitiniMimi siamini, ila wanaotaka kutuaminisha sasa ndio wajibu
YapKuliko wanaoamini nusunusu
.......