Makapuku Forum

Uli-solve-je hiyo ishu?
Demu kipindi yuko mjamzito mpaka anajifungua, wazazi wangu walikuwa hawajui kabisa.. coz niliogopa kusema nikimuhofia baba angu coz alikuwa mkali sana. Hivyo maumivu yaliutesa moyo wangu sana.
Ila kwa upande wa mwanamke walinisapoti sana na walikuwa wakinipa moyo. Ila baada ya miaka 2 kupita ndo wakaja home kutoa taarifa.
Baba angu alihuzunika sana akisema kuwa unawezaje kuacha kunipa taarifa kwa matatizo makubwa km haya mpk yanakutesa namna hii.

basi kuanzia hapo nikawa napewa opportunities na wazazi ciz walijua tayar nategemewa.. kila ishu ya pesa nikawa naambiwa niifanye mm

Ngoja niishie hapa lakin mambo mengi sana
 
Sema yakijaga unaweza hisi upo peke yako duniani....na theory zote za kuwa shupavu unaona kama tamthilia za kifilipino
Saana.. Ila kiukweli namshukuru mungu kwa moyo alionipa, huwa napigana na matatzo yangu kimya kimya.. Mtu akija kugundua ananishangaa kabsa jinsi ninavyosolve.. Anaamin angekuwa yeye angekuwa katika hali mbaya zaid.
 
Dah.. Hongera kupata support kikeni... Jambo zuri sana, mie upande wa demu walikuwa kama wamenisusia, wakat mwingine usiku demu ananiambia anatimuliwa kwao km hajakubali kuwaleta home.. Simu za vitisho kila mara yaani situlii ukiona simu tu unajua maseke yameanza.. Uchaw dingi kafariki kitambo niko na bimkubwa ilikuwa ngumu kumface, atleast mshua.. Basi nateseka mwenyewe tu.. Shule ikawa ngumu kutia maguu, wale wananitafta hadi mazingura ya xcul.. Demu ananipa michapo tu kuwa unasakwa leo wamepanga kuja shulen kwenu.. Navunga kutia miguu xcul, washkaj wanakuja kuniambia kuwa leo kuna watu fulan walikuwa wanakuulzia, ila uzur niliwaeleza washkaj wakawa wananilinda sana..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…