makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,993
- 104,498
Matatzo hayaj kutushinda yanakuja kutuchallenge,kututathmin how strong n brave we are.. Jinsi gani tunaweza kutumia akili zetu kushinda mambo magumu..Acha eti leo hii imebaki historia tu
Mapito yote yamepita na ndo yamenikomaza kiakili
Thanks sou machiPole mkuu
Uli-solve-je hiyo ishu?Sasa mm hilo tatizo lako lilinipata nikiwa form 3,
Stress iliniandama sana na ndo chanzo cha kuanza kutumia mataputapu yote yaletayo stimu mwilin mwangu mpk leo hii
We Werrason wewe...eti Kid ana aka ngapiSo una kid ana aka ngapi?
Point....hizo zaga zitakupeleka siko!Pole mkuu.. Mie nshkuru niliepuka vtu kama hvyo.. Ila jitahid uache bob sio ishu kutumia vitu hvyo..
Mie pombe hapana kabisa.. Nyasi nilichoma..Haviniathiri kihivyo coz nacheza mpira sana na home nna gym.
But natumia kush, ila pombe labda weekend tu
Ni kwel kabisa na ndo hapo nilipoamini kiwa usiyakimbie matatizo bali usimame kidete kuyakabiliMatatzo hayaj kutushinda yanakuja kutuchallenge,kututathmin how strong n brave we are.. Jinsi gani tunaweza kutumia akili zetu kushinda mambo magumu..
Nimeelewa mkuuUmeelewa mkuu
Wee mimi ako na mbongo hadi naumwa af namiliki jet kama Moise KatumbiAahh.. Ajiandae kuwa mkimbizi tu huko madagascar
Miaka miwili na miez ming tuu..So una kid ana aka ngapi?
Sina tatzo nae.. Namkubal sana chalii yangu, yee mwenyewe anajua..Maana nna uhakika Quigley anapenda marafiki.
Unadhan masihara.. We ota vtu vidogo uone kama hujaishia humo humo.. Taman juu, weka mikakat kufika juu then pambana kukamilisha mikakat yako ufike juu utafika tu, hasa mungu usipomuweka kando..
Ota vikubwa uishi maisha makubwa..
MhhMie pombe hapana kabisa.. Nyasi nilichoma..
Mwishowe badala ya kirud mkwenye mstar unaanza kuacha mstari..Point....hizo zaga zitakupeleka siko!
Huo ndio uanaume..Ni kwel kabisa na ndo hapo nilipoamini kiwa usiyakimbie matatizo bali usimame kidete kuyakabili
Sema yakijaga unaweza hisi upo peke yako duniani....na theory zote za kuwa shupavu unaona kama tamthilia za kifilipinoMatatzo hayaj kutushinda yanakuja kutuchallenge,kututathmin how strong n brave we are.. Jinsi gani tunaweza kutumia akili zetu kushinda mambo magumu..
Teh teh teh.. Utampa lift shululu akiachwa na ndegeWee mimi ako na mbongo hadi naumwa af namiliki jet kama Moise Katumbi
ShhhhhhWe Werrason wewe...eti Kid ana aka ngapi