The Book Asante sana kwa uchambuzi murua kabisaJE WAJUA??
UEFA CHAMPIONS LEAGUE
The Book wa Makapuku kwa msaada wa mtandao.
- Arsenal wanashikilia rekodi ya kuingia kwenye mashindano na wachezaji 11 kutoka mataifa kumi na moja tofauti,kila mchezaji na nchi yake.
- Real Madrid inashikilia rekodi ya kushinda mara nyingi zaidi (11) na rekodi ya kushinda mara 5 mfululizo(1956-1960)
- Barca inashikilia rekodi ya kufika nusu fainali mara sita mfululizo.
- Ni wachezaji wawili tu waliopewa kadi nyekundu katika mchezo wa "fainali",ambao ni Jens Lehman wa Arsenal na Didier Drogba wa Chelsea.
- Benifica inashikilia rekodi ya kushinda magoli mengi zaidi katika mechi mbili dhidi ya Dudelange ambapo ilishinda kwa jumla ya magoli 18-0.
- Mchezaji mkubwa zaidi kucheza UEFA ni Marco Ballorta wa Lazio akiwa na miaka 43.Na mdogo zaidi ni muafrika Celestine Babayaro akiwa na miaka 16.
- Mwaka 1967 Celtic ilivunja rekodi ya kushinda kombe hilo ikiwa na wachezaji wote wazaliwa wa eneo moja(kilomita 50 kutoka uwanja wao wa nyumbani)
- Goli la mapema zaidi ni la Roy Maakay wa Bayern Muchen katika sekunde ya 10.
I hope u mzima wa afyaMorng chwt p
Shukrani za dhat ziende kwako mkuu kitabu..JE WAJUA??

Ni usemayo jirani...wema sepetu amechuja vibaya sanaJirani, mpaka Michael anakufa hakuwahi kuchuja hata kidogo, japo white people walikuwa na lengo hilo
Kurudi???[emoji15]Duh!! Kweli wameamua ila sio kesi mie nakwenda hvyo hvyo.. Ntafanya utalii wa ghafla madagascar..
Ya mwaka huu ni chovu sanaSafi sana the book
Nb: real Madrid hili kombe pia la UEFA lazima wachukue ili wakamilishe dozen
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kenya kulikuwa na ma settlers ko lazma wawe juuMie sio mtu wa uchumi, ila naona bongo walizingua, hakuna sababu za economic background wala nin..
Wacha wee...hongereni kwa kukubaliana[emoji4]Naamin tunakubaliana[emoji23] [emoji23]
Hata mimi nakukubali kichiz mwanangu Quigley
Le akiliz kubwaz likez pro. LipumbavuzSjambo kubwaa
Hapo ndio miyeyusho kwetu sote.. Nakumbuka form 6 niko azania pale napiga PCM nikampa mimba binti mmoja yuko chuo.. Ndugu yangu nilitaman dunia ipasuke nidumbukie ndani.. Sio kwa shida nilizokuwa nakumbana nazo..[emoji17] [emoji17] [emoji17] [emoji17]Nilikuwa napiga banda za kutosha.. ila nilipoingia secondary nikajua bata, mademu na kushi+alcohol nka-floop, japo form 4 nlpita kibahati bahati
[emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30] [emoji30]
Nzuri kabisaShululu huku kwema, habar za huko
Hii ni zaidi ya nomaa niliicheki.YapView attachment 408268fury road
Yule alikuwa mtu mwingine kabisa..Ni kweli aisee hakuchuja.
Hahaa... Anamalzia uchov wa vipigo vya kikubwa..Umemuacha usingizini ni nini?
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Nzuri kabisa
Safi sana sweetHii ni zaidi ya nomaa niliicheki.
Watafte mwaka mwingine, sio mwaka huuSafi sana the book
Nb: real Madrid hili kombe pia la UEFA lazima wachukue ili wakamilishe dozen
[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nadhani niliropoka maana Michael hajawahi kuchuja kiukweli, ila niliongelea ile dhana ya kujibadili uhalisia wa Mwili.Twin hebu acha kuwa mtu wa fununu. Michael hakuwahi kwisha
Niko poa kabisa, namshukuru aliyeniumba..I hope u mzima wa afya
Si ntarud kwa pesa yangu.. Kwani mie hela ya nauli kurud tz from madagasca na kukaa wikii moja ndio itanishinda mkuu..Kurudi???[emoji15]