Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,271
Sana aiseeHapa umeua kinoma
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Mi mwenyewe nahusika na lawKuna ile, usitumike kama toilet paper, Lissu ni shida sana kwa technic za kimahakama
Nimemwona, kumbe ananiogopa na abaki vile vileKuna mtu mmoja kakusema kuwa, kule makapuku Kuna mtu anajiita Quigley ana maneno ya shombo sana,
Natumaini utakuwa umemuelewa
Hapo ndio patamu, na Lissu hesabu zake ziko hapoMi mwenyewe nahusika na law
Ni vingumu kumshtaki huyo masela labda km aliandika "Rais wa Tz JPM"
LAakini kwa JPM haimaainishi John Pombe Makufuli tu
Halafu kosa la jinai lazima mlalamikaji (Jamuhuri) ampeleke huyo JPM akatoe ushahidi
........
Hakika aiseeNimemwona, kumbe ananiogopa na abaki vile vile
Yaleyale ya YESU SIYO MUNGUHapo ndio patamu, na Lissu hesabu zake ziko hapo
Nami wakinishitaki kuwa nimemkashifu mkoo namwendea lisu nyumbani kwake chap aje kunitetea au mke wakeHapo ndio patamu, na Lissu hesabu zake ziko hapo
Mpira umeisha?Neno moja kwa hawa jamaa,Ronaldo hatakagi Ujinga
View attachment 407951
wamekutana mara 15 kwenye UEFA.Real M. kashinda mara 14!!..ila mpira dkk 90Mpira umeisha?
Kumbuka mpira siyo rede
![]()
![]()
........
Samtaimu rekodi/historia haiamui matokeo/mshindiwamekutana mara 15 kwenye UEFA.Real M. kashinda mara 14!!..ila mpira dkk 90
Mpira magoriLa pili limekataliwa illikuwa ofusaidiView attachment 407959half time now
La pili limekataliwa illikuwa ofusaidiView attachment 407959half time now