Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,269
Jonax njoo kule...wanakosena...kuna uzi unaitwa makapuku una like 100KHii match tunashinda zaidi ya magoli 3
![]()
![]()
![]()
![]()
Jonax njoo kule...wanakosena...kuna uzi unaitwa makapuku una like 100KHii match tunashinda zaidi ya magoli 3
![]()
![]()
![]()
![]()
Ungekausha tuPoa tu, kuna kima nnamsagia mahali alijipendekeza kwangu
Cc the book
Labda ya puli
![]()
![]()
![]()
............
acha uchuro wwNajaJonax njoo kule...wanakosena...kuna uzi unaitwa makapuku una like 100K

Wote tumeonaJonax njoo kule...wanakosena...kuna uzi unaitwa makapuku una like 100K
Rudiiii nshafutaaNaja
![]()
![]()
![]()
Nshafuta, ushauri umezingatiwaWote tumeona
Hatuna mpango wa kujibizana na watu
Ignore them
Simple way to kill an enemy
.................
Rudiiii nshafutaa
embu weka link hapa ili nkatambe😡hawayuni
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17809300
Amuignore tu km sisi tulivyokausha
No kick
...........
embu weka link hapa ili nkatambe
Mtu anayekuzingua ukimuignore inamuuma coz atajua huna muda naeNshafuta, ushauri umezingatiwa
Yule aliye ni mention nilimjibu kistaarabu but kuna nzi alijipendekeza kwenye post yangu ndo nkamwashia motoMtu anayekuzingua ukimuignore inamuuma coz atajua huna muda nae
Ukimjibu anahisi inakuuma alichoandika ht km ni upuuzi
Hii thread ndo habari ya JF hivyo jifunze ni kupotezea wanaoanzisha thread kutusema vibaya coz ni wanafiki tu
Mbona Vingongo Forum hawajawahi kuizungumzia?....ni kwasababu haikuwa na swaga na wana chuki tu dhidi ya hii thread
..... ..............
Haya bhanaYule aliye ni mention nilimjibu kistaarabu but kuna nzi alijipendekeza kwenye post yangu ndo nkamwashia moto
Ushauri mzuri thus y nimerudi kufuta but nimemwachia makovuHaya bhana
.........
kwema mkuu