Mwanasoka wa brazil,"Pele" alipewa jina hilo la utani lenye maana ya "miguu sita" kwa kuwa alikuwa na vidole sita miguuni.
Mnamo mwaka 1964 simu aliyopokea refa uwanjani huko nchini peru ilisababisha vifo vya watu 300 kutokana na vurugu.
Katika kombe la dunia mwaka 1950 timu ya taifa ya india ilitaka kucheza peku lakini FIFA wakagoma,timu hiyo ilisusia mashindano.
Pele alipokwenda nigeria kucheza soka katika mechi ya ngao ya hisani,pande 2 zilizokuwa zinapigana vita zilikubaliana kusitisha vita hiyo kwa masaa 48.