Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,234
- 68,268
Ok asanteNa huku kwetu Tz ikaanza kutumia mwaka gani?
Ans=2006
Kweli kabisa yaani ni sawa na haya majina yetu, Chacha, Massawe, Komba, Mwakipesile.Jina lake nikiafrika zaidi
Asante sana kwa historia mwenyekitiLeo katika Historia Orijino:
Kwa udhamini mnono wa miaka 18 ya Google, niwatakie siku njema.
Hata kuoanaAngekuwa ni mtu kwahiyo miaka 18 angekuwa anaruhusiwa kupiga kura.
Bora akose asije akanifyatulia mama zanguHuo ukauzu wako uupunguze, ucje ukakosa mademu hapa ohooo!
AmenR I P
Ambayo sikuhizi hatuyatakiKweli kabisa yaani ni sawa na haya majina yetu, Chacha, Massawe, Komba, Mwakipesile.
Alikuwa na mpango wa kuendelea kucheza kama timu yake ingefanikiwa kucheza ligi ya mabingwa ulaya1976 - Francesco Totti anazaliwa.
Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.
Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.
Pia hujulikana kama, " El Capitano De La Roma. "
1950 - Hiroyuki Tagawa anazaliwa.
Ni actor wa filamu kutoka nchini Japan.
Huwa anapenda kucheza nafasi ya Adui katika movie, na mara nyingi huwa ana roho mbaya.
Kuwa na amani hana uwezo huoBora akose asije akanifyatulia mama zangu
Itifaki izingatiwe.Wakuu ni utamaduni wetu kuwa kama kuna segment inaendelea basi stori zinazopigwa ziwe ni zile zinazohusu segment husika, ikiisha tunaendelea na stori zetu kama kawaida
Kwanza hatuna kitu kinachotumia muda mrefu.
Ni matumaini yangu kuwa mtaendeleza utamaduni huo ili kufanya KF izidi kuwa homa ya dengue
Ipo.kuanzia leo nitawaletea "Je Wajua??"?
The Book kwa Msaada wa Mtandao.
Basi twende Kruger national parkUtalii wa nje
KaribuMama yangu Jimena Jimenes de Bristol Asante kwa mkate wetu wa kila siku
Kabisa...Itifaki izingatiwe.