MwambieHapa ni storry tu, kula ni kwenu
Huyu ananiaibisha mimi niliyemsajili..Ndiyo ashakuwa ndezi
Si alikataa kitengo cha upishi jana, sasa nani ampikieMwambie
Auguri Francesco Totti1976 - Francesco Totti anazaliwa.
Ni kepteni wa Klabu ya A.S Roma ya Nchini Italia.
Alikuwa ni sehemu ya kikosi cha Timu ya Taifa ya Italy kilichotwaa Ubingwa wa Kombe la Dunia la Mwaka 2006 pale Ujerumani.
Anachukuliwa kama mchezaji bora wa wakati wote katika klabu ya Roma, kwani amechezea klabu hiyo hiyo tu na wala hajawahi kuhama.
Wanasema baada Papa, anayefata kwa Umaarufu ndani ya Jiji la Roma ni Francesco Totti.
Pia hujulikana kama, " El Capitani De La Roma. "
2004Na huku kwetu Tz ikaanza kutumia mwaka gani?
Ans=2006
Huyu ananiaibisha mimi niliyemsajili..
Ngoja nimchukulie hatua za kinidhamu maprma asije akawa kama Takuma(arsenal)
R I P1985 - Ibrahim Toure anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Ivory Coast.
Alikuwa ni mdogo wake na Yaya Toure na Kolo Toure.
Alifariki kwa kansa mwaka 2014.
nilikuwa namwambia kuwa siwezi kureply maana nitakuwa ndezi...kwii kwiiiNdiyo ashakuwa ndezi
Sio kama fellainHuyu ananiaibisha mimi niliyemsajili..
Ngoja nimchukulie hatua za kinidhamu maprma asije akawa kama Takuma(arsenal)
RIP1985 - Ibrahim Toure anazaliwa.
Ni mchezaji wa zamani wa Ivory Coast.
Alikuwa ni mdogo wake na Yaya Toure na Kolo Toure.
Alifariki kwa kansa mwaka 2014.
Ahsante kiongoziKaribu
Ungependa twende wapi katibu?Mwenyekiti twende tukatalii mahali please
1998 - Google yaanzishwa rasmi.
Leo wanasherehekea miaka 18 toka kuanzishwa kwake.
Sio kama fellain
Angekuwa ni mtu kwahiyo miaka 18 angekuwa anaruhusiwa kupiga kura.Imekuwa sasa...
Happy birthday Google