Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,105
Hivi unanichukulia poa sana eeh??? Mi Niko double long timeUnaona sasa utashangaa mama yangu Jimena anafyatuliwa hahahahaha
Hivi unanichukulia poa sana eeh??? Mi Niko double long timeUnaona sasa utashangaa mama yangu Jimena anafyatuliwa hahahahaha
nataka nibadiri mpaka IDNdio mwanzo tulikukataa
Hatupendagi ujinga sisi
........
KabisaNdio mwanzo tulikukataa
Hatupendagi ujinga sisi
........
Kweli kabisa, kwanza sio vizuri mtoto kujua siri za mama yakeHuu mchezo hauhitaji hasira. Niliyemwambia ameelewa vizuri
Cc briz
Haya, nmerudi makapuku wenzanguMmmh we mgeni sasa kikofia umemjuaje??
Haya nasubiri
ndo kanikaribisha humu
unataka ucheze namba ngapi??na mimi ni team kapuku
ulienda wapi??au kama avatar yako inavyojielezaHaya, nmerudi makapuku wenzangu
Karibu tenaHaya, nmerudi makapuku wenzangu
Njoo huku kule jukwaa la siasa utafyatuliwa sana, huku ni vicheko tuMh mkwepa kodi huyo we acha tu! mtajiju.
Asante umemtoa yule nyani...maana alikuwa anatishanimetoa mpaka nimeambiwa you have reached likes minus(utoaji wa likes)
Huyu mzee anazeeka vibayaVile unavyohisi
![]()
![]()
........
nilikuwa nawatisha kina jonax..ili wanikaribishe kwa uogaAsante umemtoa yule nyani...maana alikuwa anatisha
Wapotezee...Fitna zimeanza ila namuamini Briz
waPM Invisible, & Jamii Forumsnataka nibadiri mpaka ID
Mmmh wewe huaminiki hahahahahatee teh,mi sinaga mambo hayo
Ni kweli sasaKumtetea nayo![]()
![]()
![]()
we umejuaje mi wa kiume??Mmmh wewe huaminiki hahahahaha