MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,102
Mmmh fizi na meno yanatang'aa kama almasi![]()
![]()
Baada ya hapo asukutue na maji ya betri
Mmmh fizi na meno yanatang'aa kama almasi![]()
![]()
Baada ya hapo asukutue na maji ya betri
Na hiki kikiwa kimoja kati ya hivyo vingiVipo vya kushea...
Kwani siunaniona humu Kf ?Umepowaje wakati upo kwenye ban
Mmmh aisee jamaa atanenepa sanaAlafu bado sijakupa kitengo hapa..
Sasa wewe kitengo chako, kitakuwa cha JIKONI(kupika)
![]()
![]()
![]()
Aweke picha ya NANIHII!?c au sijakuelewa?Aweke na picha ili chumvi ikolee vizuri kwenye mboga
hata hivyo nimetulia ila nawaona woteAisee pole sana, utulie hapa sasa mwisho watakukata mkia
Sio hotpot ni choo cha watotohicho chakula hakija poa kwel, maana hayo mahot pot huwa yanapoozesha chakula
![]()
![]()
![]()
![]()
Huyu mzee amechanganyikiwa![]()
Haya anza kupata uzoefu
![]()
![]()
.........
si nilisikia ukisoma sana unachanga hizo nyikiwa?Huyu mzee amechanganyikiwa
Naona anataka kufanana na mdogo wake na mkuluHuyu mzee amechanganyikiwa
Ni kweli kabisa hebu mwambie Bitoz aitengenezee uzi kule jukwaa la siasa au habari mchanganyiko atapata wachangiaji wa kutoshaNaona cha arusha kinahusika hapa
![]()
![]()
![]()
Ila katika makapuku wote sura yako ni ya nyota *sita*si nilisikia ukisoma sana unachanga hizo nyikiwa?
Cha ajabu nmempa kitengo kizuri lakini hakitaki!Mmmh aisee jamaa atanenepa sana

ahsante,unataka kuona sura yangu halisi??Ila katika makapuku wote sura yako ni ya nyota *sita*
kapuku amekuona...hataki jikoni,au kuna jiko la gesi??Cha ajabu nmempa kitengo kizuri lakini hakitaki!
Huyu jamaa ni mbishi sanaa
![]()
![]()
![]()
HahahahahaNi kauzu zaidi ya dagaa
Watakukata mkia, shauri yakoungenipa kitengo cha kudhurura
Sio hotpot ni choo cha watoto
kwa hiyo anakula n'nyaMkuu umeona kimvulimkuu nimekuona