Kitombise
JF-Expert Member
- Sep 24, 2013
- 8,735
- 26,081
[emoji86] hicho chakula hakija poa kwel, maana hayo mahot pot huwa yanapoozesha chakula
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji86] hicho chakula hakija poa kwel, maana hayo mahot pot huwa yanapoozesha chakula
Hapo sasa itategemea, kama atanipa uzoefu binafsi itaishia kwangu tu [emoji41] [emoji4]
Vipo vya kushea...Vizuri kula na wenzio
Bila shaka huyu amerurugwa na cha Arachuga na cha stand united
Akili za ndezi mwisho wa mwezi[emoji86] hicho chakula hakija poa kwel, maana hayo mahot pot huwa yanapoozesha chakula
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Naona cha arusha kinahusika hapa![]()
Haya anza kupata uzoefu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Alienda stand bila nauliBila shaka huyu amerurugwa na cha Arachuga na cha stand united
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyo jamaa ndo anakoelekea nadhani![]()
Haya anza kupata uzoefu
[emoji2] [emoji2] [emoji2]
.........
Baada ya kupokea mshaharaAkili za ndezi mwisho wa mwezi
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
........
Kha! Anatia huruma kwa kweliAlienda stand bila nauli
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
.........
Anaelekea Norh East kwa kipimo cha bikari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ila huyo jamaa ndo anakoelekea nadhani
Huyo jamaa anaonekana hata Mwanamke akimtaka mpaka apate ndiyo atulie hahahahahaHaha jamaa kaforce kingi mpaka imekua kweli
Mshahara wa kimasihara bora biashara haoni hr isharaBaada ya kupokea mshahara
Kumbe wewe ndiyo baba yangu mdogo?, sweetiepie njoo huku naongea na baba mdogoKumbe!
Ila huyo mama yako mdogo sisi tunakulaga pia
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Umepowaje wakati upo kwenye banNashukuru nimeshapowa
Hahaha ila kuna wanawake wengine unaweza ukatia huruma na kuvumilia juu lakini kama hauna resources utaangukia pua tuHuyo jamaa anaonekana hata Mwanamke akimtaka mpaka apate ndiyo atulie hahahahaha
[emoji23] [emoji117] [emoji40] [emoji40] [emoji40]Kumbe wewe ndiyo baba yangu mdogo?, sweetiepie njoo huku naongea na baba mdogo
Kweli jamaa ni noumaNdo tuanataka wavumilivu kama hawa(makauzu)
Aisee kweli mkuuNi kweli kabisa mana kama kahimili mikuki yako na ya Bitoz bas huyo tunampitisha tu [emoji4] [emoji2]