Sweetiepie
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 6,107
- 24,132
Asante....Haha kuna bwana google wengi tu anatusaidia

Asante....Haha kuna bwana google wengi tu anatusaidia

Nilivyoanza nilikuwa natafsiri ila naona inachukua muda sana...napata uvivuYule hajui lugha ya taifa vizuri
Ngoja niendeKuna uzi CC unahusu Prezida wa JF Ngedere anachuana na Ze Box
Kapige kura
![]()
![]()
![]()
...........

Thnx mpenz.. Imefika hyo, naiskilza kwa hisia hapa..![]()
![]()

Usiende kufanya fujo pita kimyaNgoja niende
![]()
![]()
![]()
Ulikimbia physics...Hakuna kitu kama hikoo
Jitusu uone balaa lake..![]()
![]()
we ni mzee wa mashairi tuu.....huna uwezo huo
Lazima niwaletee fujo, siwezi kuwaangalia wakitamba hv hvUsiende kufanya fujo pita kimya
Utakula ban wale ni untouchable
![]()
![]()
![]()
............
Yaani ntazipikaje!Nmebeba kontena zima.. Wewe tu na uwezo wako wa kuja kuchukua maskani.
Nguruwe pita, sina mkuki mie, wewe haramu kwangu...

Nakutakia BAN njemaLazima niwaletee fujo, siwezi kuwaangalia wakitamba hv hv
AwapiUlikimbia physics...
Aisee hyo thread nmeitafuta CC lakini sijaiona kwani inaitwaje?Nakutakia BAN njema
![]()
![]()
![]()
.........
https://www.jamiiforums.com/index.php?posts/17770008Aisee hyo thread nmeitafuta CC lakini sijaiona kwani inaitwaje?
Embu nyosha maelezo
Tayari nmeshaweka neno nikapita zangu
"Bongo hakuna supastaa zaidi ya King Majuto"Tayari nmeshaweka neno nikapita zangu
Wakati superstar bongo anajulikana.."Bongo hakuna supastaa zaidi ya King Majuto"
Hupendagi ujinga
![]()
![]()
![]()
......
Sipendagi ujinga mimiSasa mbona physics ndogo inakupiga chenga!!Awapi