makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,595
Usisahau kumleta shemej kuchukua zawad yake bhanaE bana hii ngoma nadhan eminen alikua sober hakuwa amemoka wala nini, uchizi wote aliweka pembeni hata kwenye beat alitulia mno... ni moja kati ya ngoma zangu nnazozikubali kutoka kwake
sawa mkuuNamkumbuka
Hivi ile movie ya maze runner inahusiana na hili tukio eeh!!!
Bwege mtozeni hilo achana naloWeeeeee ishia hapo hapo wakati kamgonga mtu jana.
Tena uzur uliotukuka..Huu nao mzuri
Uzuri usiodhurika.Huu nao mzuri
Ntahakikisha anakuja japo mi niko mbali kidogo au kama haitakua leo basi anisubirie ili tuje woteUsisahau kumleta shemej kuchukua zawad yake bhana
Pengine mkuuHao kweli wazee wa mipango aisee, kina scofield itakua ndo waliiba idea ya hawa jamaa
Sawa mkuuIsake mkuu ni move moja hatar sana..
Nakuja malkia wang.. Hope msosi wa usiku tutakula pamoja leo..Nimefurahi kukuona...nipo napika hapa nakusubiri kwa hamu.
Heshima kwakeeKuna mzanzibar alishiriki vita hii kikamilifu, alikuwa ni ofisa wa JWTZ.
Alifukuzwa Tanzania kwa kashfa ya kuhusika kwake kwenye Mauaji ya Karume.
Samora Machel akamuomba apelekwe Msumbiji, Ambapo alipambana katika ushindi wa vita hivyo vya msituni, baadae alikuwa mshauri wa Rais wa Msumbiji katika masuala ya Ulinzi na hata baada ya kufa alizikwa hukohuko Msumbiji katika makaburi ya mashujaa wa nchi hiyo.
Huyo si mwingine bali Kanali Ali Mahfoudh kutoka JWTZ, mzanzibar ambaye hakuthaminiwa kwao ika akaenda kupata heshima zote nchini Msumbiji.
Iane Harte, Lee Bowyer, Danny Mills, Lucas RadebeLeeds hiyo haitakuja kutokea tena.. Daima na milele
Harry kewell
Mark viduka
Ferdinand hatar sana
Man u alikufa sijui 5.
Hahaa... Mbona nimebutua 111k, na bado nadnda uraian.. Afya inaruhusu..Ungezibutua 100K zote nadhani tungekuwa tumeshakuzika
Swadakta mkuuNilishawahi kuisikia hiyo kwenye ishu iliyohusu maisha ya Jumbe
Historia tamu
...............
Eehh.. Mwshon nisije onekana snake wa kibisa burekama zinakuja zenyewe unazibutua tu man mana hakuna namna nyingine
Nipo kamanda.. Vip wewe!!?Makaveli10 upooo
Hahaa.. Uchupa nux.. Mwenyewe kanyooka..Alikuwa anakataliwa sana, ikabidi ambadilishe
Anaenda kumaliza hela za kodi kilabuniTumeamka poa shem lake, MKWEPA KODI ye aliamkia kilabuni
Nimeshamtoa maana alikuwa anazinguaaKaribu ndugu, yule kinyonga kichwani vepe??
Hebu fatlia tujue.. Sio unamtaja sikudhan tu mwajuma humuon ausidhani