Makapuku Forum

Makapuku Forum

1954 - Juande Ramos anazaliwa.

Ni kocha wa zamani wa Real Madrid, Sevilla na Tottenham.
IMG_20160925_120906.jpeg
IMG_20160925_120915.jpeg
 
1983 - Maze Prison Escape. Wafungwa 38 wanatoroka katika gereza la Maze huko Ireland ambao wengi wao walikuwa ni wanajeshi.

Gereza la Maze lilisifika kuwa na Ulinzi mkali na moja kati magereza magumu barani ulaya lakini wanaume wakapanga mipango yao wakasepa.

Kutoroka huko kwa wafungwa 38 ni moja kati ya matukio makubwa ya wafungwa kutoroka kwa wingi katika magereza yenye ulinzi mkubwa.
Hao kweli wazee wa mipango aisee, kina scofield itakua ndo waliiba idea ya hawa jamaa
 
Kuna mzanzibar alishiriki vita hii kikamilifu, alikuwa ni ofisa wa JWTZ.

Alifukuzwa Tanzania kwa kashfa ya kuhusika kwake kwenye Mauaji ya Karume.

Samora Machel akamuomba apelekwe Msumbiji, Ambapo alipambana katika ushindi wa vita hivyo vya msituni, baadae alikuwa mshauri wa Rais wa Msumbiji katika masuala ya Ulinzi na hata baada ya kufa alizikwa hukohuko Msumbiji katika makaburi ya mashujaa wa nchi hiyo.

Huyo si mwingine bali Kanali Ali Mahfoudh kutoka JWTZ, mzanzibar ambaye hakuthaminiwa kwao ika akaenda kupata heshima zote nchini Msumbiji.
........... Hakubaliki kwao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom