Makapuku Forum

Makapuku Forum

Mkuu yule Vale & Tinner habusiki na hii thread
Yeye ni Vingongo Forum
Kuweni na msimamo msishobokee vingongo vinavyojiona mastaa
Thread yao na yetu ni km Simba na Yanga hatukai jukwaa moja isipokuwa tunakutana sehemu zingine tu
Mpotezeeni
.....................
Hapa mbona sijaelewa? Inamana kuna matabaka au?
 
8c7ae48741be8e40c81c761f8551b22d.jpg

Kwa udhamini wa virober
USIKU MWEMA
...........................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom