brigedia mafia
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 2,260
- 2,279
Habari zenu makapuku , nimekuja kuwa sabahi majirani zangu
Haya, umeleta habari za msanii gani hebu share nasi hapaHabari zenu makapuku , nimekuja kuwa sabahi majirani zangu
Karibu osterbay uwanja wa farasiMkuu watu watajua unapokaa na watakufahamu wewe ni nani
Nipo hapa Karibu na huyu mzee mwenye mvi nyingi, karibuKaribu osterbay uwanja wa farasi
Tusabahi haraka upiteHabari zenu makapuku , nimekuja kuwa sabahi majirani zangu
Asante, hapo MasakiNipo hapa Karibu na huyu mzee mwenye mvi nyingi, karibu
Njoo hapa tufahamianeAsante, hapo Masaki
Umuhimu wa pogba unaonekana
Rooney ndo kimeo # 1Umuhimu wa pogba unaonekana
Asante, jumamos huwa sitoki kabisa, mpira kwa kwenda mbeleNjoo hapa tufahamiane
HahahahahaAsante, jumamos huwa sitoki kabisa, mpira kwa kwenda mbele
Naona leo togwa linapanda vizuri tuRooney ndo kimeo # 1
Kawekwa benchi ndo timu imeimarika tena naombea waendelee kukalia benchi tu ht next games
![]()
![]()
![]()
![]()
........
Akalie bench hvyo hvyo kabisaRooney ndo kimeo # 1
Kawekwa benchi ndo timu imeimarika tena naombea waendelee kukalia benchi tu ht next games
![]()
![]()
![]()
![]()
........