Makapuku Forum

Makapuku Forum

vipi na substitution, Mhkitarian atakuwepo?
016631005268eb706a37db8deaaf90cf.jpg

Hayupo
............
 
Copy and paste

Eti jana usiku mwizi kavunja mlango kwa Mchagga
akaanza kutafuta kitu kila kona ikabidi
na Mchagga amke nakumuuliza unatafuta nini anamjibu hela ndipo alipoanza nae kutafuta nae
maana hata hela ya kula Jana hakua
nayo alichoka zaidi alipomuliza una uhakika uliweka humu?

Mchagga hapendagi utani na kitu hela!
 
Hahahahaha kweli wewe ni mukongomani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom