briz
JF-Expert Member
- May 8, 2013
- 4,275
- 19,110
Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweliHahaha labda ni utu uzima pengine alivyokua binti alikua kigoli tu![]()
Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOIUmeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani?

Habari za mchana Mussolini5
Wizi na ufisadiUmeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani?
Inawezekana hata mi nishawahi kuskia hivyo afu labda ndo mana alikuaga kauzu sanaWanasemaga hana watoto, sijui ni kweli
Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume?Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli
Sina uthibitishoInawezekana ni kweli, kwani ana Mume?
Duh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadiWizi na ufisadi


Vp umeishazimua, au leo weekend full kitwangaInawezekana ni kweli, kwani ana Mume?
Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOI
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()





basi tuko vizuri sana kwenye propagandaHahaha labda ni utu uzima pengine alivyokua binti alikua kigoli tu![]()
Katika ubora wake
Mimi ni jina tu lakini kodi nalipaDuh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadi![]()
Yeees Karibu mkuuVp umeishazimua, au leo weekend full kitwanga
Hahaha weka pichaMimi ni jina tu lakini kodi nalipa
Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira
Yule ndo muua timu # 1Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira