briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 24, 2016 #110,641 shululu said: Naona kwenye propaganda tupo vizuri sana Click to expand... hata mi naona
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,642 briz said: Hahaha labda ni utu uzima pengine alivyokua binti alikua kigoli tu Click to expand... Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli
briz said: Hahaha labda ni utu uzima pengine alivyokua binti alikua kigoli tu Click to expand... Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli
Kitombise JF-Expert Member Joined Sep 24, 2013 Posts 8,652 Reaction score 25,849 Sep 24, 2016 #110,643 briz said: Umeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani? Click to expand... Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOI
briz said: Umeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani? Click to expand... Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOI
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 24, 2016 #110,644 MKWEPA KODI said: Habari za mchana Mussolini5 Click to expand... briz said: Umeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani? Click to expand... Wizi na ufisadi
MKWEPA KODI said: Habari za mchana Mussolini5 Click to expand... briz said: Umeme ni janga lingine aisee, hivi tz tuko vizuri zaidi kwenye sekta gani? Click to expand... Wizi na ufisadi
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 24, 2016 #110,645 shululu said: Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli Click to expand... Inawezekana hata mi nishawahi kuskia hivyo afu labda ndo mana alikuaga kauzu sana
shululu said: Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli Click to expand... Inawezekana hata mi nishawahi kuskia hivyo afu labda ndo mana alikuaga kauzu sana
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 24, 2016 #110,646 shululu said: Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli Click to expand... Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume?
shululu said: Wanasemaga hana watoto, sijui ni kweli Click to expand... Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume?
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,647 MKWEPA KODI said: Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume? Click to expand... Sina uthibitisho
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 24, 2016 #110,648 MKWEPA KODI said: Wizi na ufisadi Click to expand... Duh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadi
MKWEPA KODI said: Wizi na ufisadi Click to expand... Duh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadi
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,649 MKWEPA KODI said: Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume? Click to expand... Vp umeishazimua, au leo weekend full kitwanga
MKWEPA KODI said: Inawezekana ni kweli, kwani ana Mume? Click to expand... Vp umeishazimua, au leo weekend full kitwanga
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 24, 2016 #110,650 jonax said: Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOI Click to expand... basi tuko vizuri sana kwenye propaganda
jonax said: Tuko vizuri kwenye sector ya kusifia MAPANGA BOI Click to expand... basi tuko vizuri sana kwenye propaganda
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 24, 2016 #110,651 briz said: Hahaha labda ni utu uzima pengine alivyokua binti alikua kigoli tu Click to expand...
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,652 Bitoz said: View attachment 406091 Click to expand... Katika ubora wake
Tetramelyz JF-Expert Member Joined Apr 25, 2014 Posts 4,369 Reaction score 12,469 Sep 24, 2016 #110,653 cc jonax www.jamiiforums.com/threads/ujuzi.1119228/
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 24, 2016 #110,654 briz said: Duh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadi Click to expand... Mimi ni jina tu lakini kodi nalipa
briz said: Duh! Uko sahihi mkuu, afu na we utaanza lini kulipa kodi mana huo nao ni wizi kama si ufisadi Click to expand... Mimi ni jina tu lakini kodi nalipa
MKWEPA KODI JF-Expert Member Joined Nov 28, 2015 Posts 28,700 Reaction score 71,102 Sep 24, 2016 #110,655 shululu said: Vp umeishazimua, au leo weekend full kitwanga Click to expand... Yeees Karibu mkuu
briz JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 4,275 Reaction score 19,110 Sep 24, 2016 #110,656 MKWEPA KODI said: Mimi ni jina tu lakini kodi nalipa Click to expand... Hahaha weka picha
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,657 MKWEPA KODI said: Yeees Karibu mkuu Click to expand... Asante, mimi nina dozi
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 24, 2016 #110,658 Rooney benchi ...........
shululu JF-Expert Member Joined Jan 26, 2015 Posts 28,137 Reaction score 109,911 Sep 24, 2016 #110,659 Bitoz said: View attachment 406095 Rooney benchi ........... Click to expand... Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira
Bitoz said: View attachment 406095 Rooney benchi ........... Click to expand... Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira
Bitoz JF-Expert Member Joined Aug 27, 2015 Posts 30,823 Reaction score 126,632 Sep 24, 2016 #110,660 shululu said: Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira Click to expand... Yule ndo muua timu # 1 Km nilivyoahidi Siku ile km angepangwa sitaangalia mpira Naona Domourinho kanisikia ........
shululu said: Nimeona hapa sasa hivi, ndio wanachambua wachambuzi wa mpira Click to expand... Yule ndo muua timu # 1 Km nilivyoahidi Siku ile km angepangwa sitaangalia mpira Naona Domourinho kanisikia ........