Camilo Cienfuegos
JF-Expert Member
- Apr 23, 2015
- 19,232
- 68,262
Leo katika Historia:
1948 - Kampuni ya Honda yaanzishwa rasmi huko Japan.
1957 - Uwanja wa Campa Nou wa klabu ya Barcelona F.C wafunguliwa rasmi.
Ndio uwanja mkubwa zaidi nchini Hispania.
Pia unashika nafasi ya kwanza kwa ukubwa barani Ulaya. Unaingiza takribani watu 110,000.
Mabibo ya Katalunya
Huku tuna Fekon na Toyo
1968 - Nchi ya Swaziland yajiunga Umoja wa Mataifa.
tumezindua UgoroHivi sisi tulizinduaga nini jamani...!!? mbona wenzetu wametuzidi mbali hivyo
Kumbe walitawaliwa na Ureno1973 - Guinea Bissau yajitangazia Uhuru wake toka kwa Wareno.
1973 - Guinea Bissau yajitangazia Uhuru wake toka kwa Wareno.
Kumbukumbu yao kubwa ni ubingwa wa club bingwa ulaya1980 - John Arne Riise anazaliwa.
Beki wa zamani wa Liverpool, Fulham, Roma na timu ya taifa ya Norway.
Alijulikana zaidi wakati yupo Liverpool pia alisifika kwa mikwaju motomoto kutoka mguu wake wa kushoto.
Alikuwepo kikosini wakati Liverpool inashinda ubingwa wa ulaya mwaka 2005.
Asante mussolin, nawe pia Sabato njemaLeo katika Historia:
Sina la ziada, kwa udhamini mnono wa Sabato, tukutane tena kesho hapahapa.
Leo nina ugeni kanisani, hivyonnitakuwa na kaubize kidogo.
Jumamosi njema.
yap mkuuKumbe walitawaliwa na Ureno
2015 - Watu takribani 1100 wapoteza Maisha huko katika Mji mtakatifu wa Mecca walipoenda kuhiji na takribani 990 walijeruhiwa baada ya kukanyagana kutokana na msongamano mkubwa wa Mahujaji.
Ni wareno mkuu.
EPL wanamiaka mingi hawajawahi kuigusa.Kumbukumbu yao kubwa ni ubingwa wa club bingwa ulaya
Ahsante piaAsante mussolin, nawe pia Sabato njema