Makapuku Forum

Model imemodolewa
 
Wife : Hallo mpenzi, mambo!

Husband : Poa baby!.

Wife : Uko wapi?

Husband : Mimi niko town napata lunch.

Wife : Wow! Unarudi saa ngapi? Nina njaa dear, nataka uniletee msosi.

Husband : Narudi baada ya nusu saa tu. Nikuletee nini?

Wife : Niletee chipsi kuku, soseji, mayai manne yakaangwe pembeni, baga, piza ya samaki waweke
mayonaize, coka take away ya baridi, mkate wa moto kwenye ile bekari ya Wapemba na maji ya kunywa chupa kubwa ya Kilimanjaro.

Husband : Umesahau viti, meza, beseni, masufuria, sahani na vijiko.

Wife :Kwa nini dear?

Husband :Naona hutaki kula, unataka kufungua hoteli!

 
 
Jamaa katisher
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…